Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Taasisi ya Furqan Foundation imefanikiwa kutoa chakula, mafuta, mchele na shuka za kujifunika kwa ndugu yetu Jafar wa Zaizo Lushoto, Tanga - Tanzania. Huyu ni mgonjwa wa viungo. Familia yake wamefurahi sana na wanawaombea dua njema wafadhili kwa kitendo chao hiki kizuri cha upendo na huruma kwa mtoto wao.

21 Aprili 2025 - 20:24

Habari Pichani | Taasisi ya Furqan Foundation itoa msaada kwa ndugu Jafar wa Zaizo Lushoto - Tanga ambaye ni mgonjwa wa viungo

Your Comment

You are replying to: .
captcha